Bango
Bango
Bango
Bango
Bango

Karibu RM Kyando Co.Ltd

Wauzaji wa:- Vifaa vya uchimbaji madini, Spare parts za vifaa vya uchimbaji madini, Kemikali & Huduma ya Maabara.

Kuhusu Sisi (About Us)

RM Kyando Co.Ltd ni kampuni ya kizalendo iliyojizatiti katika sekta ya madini, tunaojishughulisha na usambazaji wa vifaa imara vya uchimbaji, kemikali salama za uchenjuaji, spare parts halisi za mitambo ya migodini nchini kote na Huduma za Maabara.

๐ŸŽฏ

Our Mission

Kutoa vifaa na kemikali zenye viwango vya juu vya ubora wa kimataifa kwa wachimbaji wa madini kwa gharama nafuu na huduma ya haraka.

๐Ÿ‘๏ธโ€๐Ÿ—จ๏ธ

Our Vision

Kuwa nembo na mshirika nambari moja anayeaminika zaidi katika ugavi vya vifaa vya migodini na huduma za kimaabara kote nchini.

๐Ÿ’Ž

Our Values

Uaminifu, Ubunifu, Usalama kazini, na kuheshimu mikataba ya wateja wetu ili kujenga uhusiano wa kibiashara vya kudumu.

๐Ÿง 

Philosophy

Tunaamini mafanikio ya mteja wetu ndiyo mafanikio yetu. Tunafanya kazi kwa weledi kuhakikisha migodi inafanya kazi bila kusimama.

Raiton Exavery Kyando

Raiton Exavery Kyando

Mkurugenzi Mkuu (CEO)

RM Kyando Co. Ltd

โ€œ

Ujumbe Kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu

"Katika ulimwengu wa ushindani wa sekta ya madini, ufanisi na uaminifu ndio kila kitu. Sisi RM Kyando Co. Ltd tupo hapa kuhakikisha unakuwa na zana bora, vipuri (spare parts) vya uhakika, na huduma za kiufundi zinazokuwezesha kufanya kazi bila kusimama. Huwa hatuangangalii wateja wetu kama wanunuzi tu, bali kama washirika wetu wa kimkakati. Tunashukuru kwa imani mliyoweka kwetu, na tunawakaribisha wale wote wanaotafuta ubora wa viwango vya juu kushirikiana nasi."

RM Kyando

Kwanini utuamini na kufanya biashara nasi?

Tuna uzoefu wa kutosha na miundombinu thabiti ya kukuhudumia popote ulipo Tanzania na Nchi jirani kwa uaminifu na weledi mkubwa.

0+

Miaka ya Uzoefu

0+

Wateja Walioridhika

0+

Bidhaa Zinazopatikana

0+

Mikoa Tuliyofika

Jinsi ya Kupata Huduma na Taarifa Mpya

1

Tengeneza Account

Jisajili kwenye tovuti yetu ili uweze kupata matangazo yetu muda mfupi baada ya kutolewa.

2

Tafuta Bidhaa

Kagua katalogi yetu iliyosheheni vifaa, spare na kemikali za migodini pamoja na huduma za Maabara kisha chagua unachohitaji.

3

Mawasiliano ya Moja kwa Moja

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp kukamilisha malipo na kutumiwa bidhaa au kupata taarifa zaidi.

Huduma Zetu

๐Ÿ› ๏ธ

Uuzaji Vifaa vya Uchimbaji

Fungua โž”
โš™๏ธ

Uuzaji Spare Parts

Fungua โž”
๐Ÿงช

Wauzaji wa Kemikali

Fungua โž”
๐Ÿ”ฌ

Huduma ya Maabara

Fungua โž”

Kazi na Matukio Yetu Kwa Vitendo

Gusa picha yoyote kutazama maktaba yote ya picha za miradi na huduma zetu.