Wauzaji wa:-
Vifaa vya uchimbaji madini, Spare parts za vifaa vya uchimbaji madini, Kemikali & Huduma ya Maabara.
RM Kyando Co.Ltd ni kampuni ya kizalendo iliyojizatiti katika sekta ya madini, tunaojishughulisha na usambazaji wa vifaa imara vya uchimbaji, kemikali salama za uchenjuaji, spare parts halisi za mitambo ya migodini nchini kote na Huduma za Maabara.
Kutoa vifaa na kemikali zenye viwango vya juu vya ubora wa kimataifa kwa wachimbaji wa madini kwa gharama nafuu na huduma ya haraka.
Kuwa nembo na mshirika nambari moja anayeaminika zaidi katika ugavi vya vifaa vya migodini na huduma za kimaabara kote nchini.
Uaminifu, Ubunifu, Usalama kazini, na kuheshimu mikataba ya wateja wetu ili kujenga uhusiano wa kibiashara vya kudumu.
Tunaamini mafanikio ya mteja wetu ndiyo mafanikio yetu. Tunafanya kazi kwa weledi kuhakikisha migodi inafanya kazi bila kusimama.
Mkurugenzi Mkuu (CEO)
RM Kyando Co. Ltd
"Katika ulimwengu wa ushindani wa sekta ya madini, ufanisi na uaminifu ndio kila kitu. Sisi RM Kyando Co. Ltd tupo hapa kuhakikisha unakuwa na zana bora, vipuri (spare parts) vya uhakika, na huduma za kiufundi zinazokuwezesha kufanya kazi bila kusimama. Huwa hatuangangalii wateja wetu kama wanunuzi tu, bali kama washirika wetu wa kimkakati. Tunashukuru kwa imani mliyoweka kwetu, na tunawakaribisha wale wote wanaotafuta ubora wa viwango vya juu kushirikiana nasi."
Tuna uzoefu wa kutosha na miundombinu thabiti ya kukuhudumia popote ulipo Tanzania na Nchi jirani kwa uaminifu na weledi mkubwa.
Jisajili kwenye tovuti yetu ili uweze kupata matangazo yetu muda mfupi baada ya kutolewa.
Kagua katalogi yetu iliyosheheni vifaa, spare na kemikali za migodini pamoja na huduma za Maabara kisha chagua unachohitaji.
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp kukamilisha malipo na kutumiwa bidhaa au kupata taarifa zaidi.
Gusa picha yoyote kutazama maktaba yote ya picha za miradi na huduma zetu.
mitambo ( Mashine ) ya kisasa ya uchimbaji wa Madini
mitambo ( Mashine ) ya kisasa ya uchimbaji wa Madini Kwa Bei nafuu
Edger Chifupa: Kampuni imedhamiria kuwainua wachimbaji wadogo kiuchumi
Ofisi ya Chunya Kibaoni
Usafirishaji wa Bidhaa kwa wateja
mitambo ( Mashine ) ya kisasa ya uchimbaji wa Madini
mitambo ( Mashine ) ya kisasa ya uchimbaji wa Madini Kwa Bei nafuu
Edger Chifupa: Kampuni imedhamiria kuwainua wachimbaji wadogo kiuchumi
Ofisi ya Chunya Kibaoni
Usafirishaji wa Bidhaa kwa wateja