Wauzaji wa:-
Vifaa vya uchimbaji madini, Spare parts za vifaa vya uchimbaji madini, Kemikali & Huduma ya Maabara.
RM Kyando Co.Ltd ni kampuni ya kizalendo iliyojizatiti katika sekta ya madini, tunaojishughulisha na usambazaji wa vifaa imara vya uchimbaji, kemikali salama za uchenjuaji, spare parts halisi za mitambo ya migodini nchini kote na Huduma za Maabara.
Kutoa vifaa na kemikali zenye viwango vya juu vya ubora wa kimataifa kwa wachimbaji wa madini kwa gharama nafuu na huduma ya haraka.
Kuwa nembo na mshirika nambari moja anayeaminika zaidi katika ugavi wa vifaa vya migodini na huduma za kimaabara kote nchini.
Uaminifu, Ubunifu, Usalama kazini, na kuheshimu mikataba ya wateja wetu ili kujenga uhusiano wa kibiashara wa kudumu.
Tunaamini mafanikio ya mteja wetu ndiyo mafanikio yetu. Tunafanya kazi kwa weledi kuhakikisha migodi inafanya kazi bila kusimama.
Jisajili kwenye tovuti yetu ili uweze kupata matangazo yetu muda mfupi baada ya kutolewa.
Kagua katalogi yetu iliyosheheni vifaa, spare na kemikali za migodini pamoja na huduma za Maabara kisha chagua unachohitaji.
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp kukamilisha malipo na kutumiwa bidhaa au kupata taarifa zaidi au ushauri wa kiufundi haraka.
Je, ungependa kuanza taarifa mpya na ofa kwa urahisi?
๐ค Jiandikishe (Register as Customer)Gusa kibox cha huduma husika ili kutazama bidhaa na katalogi yake.